Pages

Friday, February 18, 2011

JWTZ YAFAFANUA TUKIO LA MABOMU GONGO LA MBOTO

Mkuu wa Tawi la Ukaguzi wa Jeshi la Wananchi  Tanzania (JWTZ) Brigedia Jenerali Leornard Mudeme (Katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu milipuko ya  mabomu ya Gongo la Mboto jijini Dar es Saala, (kushoto), Mkurugenzi wa Usalama JWTZ, Brigedia Jenerali Paul Mella na Kanali Emmanuel Kapesa,  (Picha na Peter Twite).

No comments:

Post a Comment