Pages

Monday, October 10, 2011

Wayne Rooney will discover the length of his Euro 2012 suspension on Thursday, Uefa has announced.


The striker, 25, will definitely miss England's first game in the tournament after kicking Miodrag Dzudovic in the 2-2 draw with Montenegro.
But the governing body's disciplinary panel will meet on Thursday to decide whether to increase that ban.

Wednesday, August 17, 2011

Injured duo miss out for Rangers

Injured duo miss out for Rangers

17 Aug 2011 - 09:30:11

Rangers were dealt a double defensive blow ahead of their Europa League qualifier against Maribor with the news that David Weir and Kyle Bartley did not travel.

The Scottish champions jetted out from Glasgow Airport on Wednesday morning for Thursday's play off first leg in Slovenia.

Skipper Weir failed to recover from a hamstring strain that has sidelined him for a couple of weeks, while Bartley suffered a groin strain in the 2-0 win at Inverness at the weekend.

Better news for Rangers is that Lee McCulloch, who can operate at centre-half if need be, did travel and looks set to recover from a knee injury.

Kyle Lafferty, who is recovering from a hernia operation, travelled with the rest of the team but is highly unlikely to feature.

Sunday, July 10, 2011

Pergamon yajidhatiti elimu ya mashine za rejesta za kodi

Operesheni Maneja wa Kampuni ya Pergamon Tz Limited, David Nyaga (kulia), akitoa maelekezo kwa mwandishi wa habari Mbinga Lusimbi (kushoto), kuhusu matumizi sahihi ya mashine za kielektroniki za rejesta ya kodi ambazo kampuni yake imepewa dhamana ya kusambaza na kuuza mashine hizo na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA. (Picha na Mwandishi Wetu).

Wednesday, April 13, 2011

Serengeti Yavunja Rekodi Udhamini TASWA


Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) Bw. Juma Pinto (kushoto), akipokea mfano wa cheki ya Sh. milioni 80 kwa Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Bi.Teddy Mapunda (kulia), Dar es Salaam jana. Kwa ajili ya maandalizi ya kumtafuta mchezaji bora wa mwaka 2010. Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti (TASWA) Maulid Kitenge, Meneja Mahusiano na Jamii Bi. Nandi Mwiyombella, Katibu Mkuu wa TASWA, Bw. Amiri Muhando (Picha na Peter Twite). 

Monday, April 4, 2011

Lazima Kitaeleweka tu Machinga Complex!

Mmoja wa mafundi wakitengeneza meza za biashara nje ya jengo la Machinga Complex, Ilala Dar es Salaam, kwa ajili ya wafanyabiashara ndogo ndogo 'Wamachinga' wanaotakiwa kuhamia katika jengo lhilo. Kutokana na uhaba wa wateja 'Wamachinga' wamekuwa wakisuasua kuhamia katika jengo hilo (Picha na Peter Twite)

Thursday, March 31, 2011

Haya Ndiyo Maisha ya Bongo!!

Wakina mama wakiwa wameketi kando ya barabara wakisubiri kuomba msaasa kwa wasamaria wema kama walivyonaswa na mpiga picha wetu wakiwa na watoto wao jijini Dar es Salaam (Picha Peter Twite)

Monday, March 28, 2011

32 Watunukiwa vyeti

Rais wa wanafunzi wa kitanzania katika chuo cha Acharya, Hamis Fupi akikabidhi zawadi kwa mgeni rasmi.

Sunday, March 20, 2011

CRDB YAZIDI KUJITANUA KIMATAIFA

Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa Mkulo  akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, kadi mpya ya TemboCardMasterCard wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Twite)