Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) Bw. Juma Pinto (kushoto), akipokea mfano wa cheki ya Sh. milioni 80 kwa Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Bi.Teddy Mapunda (kulia), Dar es Salaam jana. Kwa ajili ya maandalizi ya kumtafuta mchezaji bora wa mwaka 2010. Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti (TASWA) Maulid Kitenge, Meneja Mahusiano na Jamii Bi. Nandi Mwiyombella, Katibu Mkuu wa TASWA, Bw. Amiri Muhando (Picha na Peter Twite).
No comments:
Post a Comment