Balozi wa Iran hapa nchini, Mh. Mahsen Ghomi akizungumza na waandishi wa habari ofsini kwake jana kabla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vituo vya watoto Yatima cha New Life Orphanage Centre na Msimbazi Center. Msaada huo wa chakula, Unga, Mchele, Maharage, maziwa na biskuti vina thamani ya sh.2.5. Vimetolewa kwa ushirikiano wa kampuni ya Twika Charity Group na Ubalozi wa Irani.
No comments:
Post a Comment