Pages

Monday, February 28, 2011

Samaki akisafirishwa kwa Baiskeli!

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam akisafirisha samaki mkubwa kwa kutumia baskeli yake kuelekea sokoni kwa mauzo kama alivyonaswana na kamera yetu, hivi karibuni maeneo ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam (Picha na Peter Twite).

No comments:

Post a Comment