Kulia ni Muuza juisi na vitafunwa ambaye alikataa kutaja jina lake katika kituo cha daladala cha Tandika, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Vitafunwa hivyo huuzwa katika mazingira ya wazi ambayo huweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu. (Picha na Peter Twite)
No comments:
Post a Comment