Kijana huyu alinaswa na kamera yetu akisukuma mkokoteni wenye madeli ya kuhifadhi barafu eneo la Posta Mpya Dar es Salaam. Watumiaji wa madeli ya kutunza barafu wanazidi ongezeka kwa kasi kutokana mgao wa umeme unaoendelea nchini. (Picha na Peter Twite).
No comments:
Post a Comment