Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Awadh Tamim akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili juzi katika Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Sweden kwa ajili ya pambano lake la kuwania ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati dhidi ya Ashraf Suleiman litakalofanyika Machi 5 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee(Picha na Victor Mkumbo).
No comments:
Post a Comment