Pages

Saturday, February 12, 2011

UTUMIKISHWAJI WA WATOTO NA TATIZO LA MAJI VIJIJINI !

Watoto hawa majina yamehifadhiwa, wakitoka kuchota maji umbali mrefu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, matatizo ya maji yanasababisha utumikishwaji wa watoto wadogo, kama walivyonaswa na mpiga picha wetu katika Kijiji cha Kalemwa, Wilaya Mpanda, Mkoa wa Rukwa.

No comments:

Post a Comment