Pages

Saturday, February 19, 2011

CRDB YAGUSWA NA WAATHIRIKA WA MABOMU GONGO LA MBOTO

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akikabidhi msaada wa nguo na vyakula mbalimbali wenye thamini ya Sh. Milioni 20, kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Chiku Galawa  kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya watu walioathiriwa na mabomu hivi karibuni. (Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment