Mkuu wa Tawi la Ukaguzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Brigedia Jenerali Leornard Mudeme (Katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu milipuko ya mabomu ya Gongo la Mboto jijini Dar es Saala, (kushoto), Mkurugenzi wa Usalama JWTZ, Brigedia Jenerali Paul Mella na Kanali Emmanuel Kapesa, (Picha na Peter Twite).
No comments:
Post a Comment