Pages

Saturday, February 12, 2011

CRDB YASAINI MKATABA ELIMU YA MASAFA YA MBALI


Mkurungezi Mkuu wa Kampuni ya Milpark Business School, Julian Van-Der-Westhuisen (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB, Charles Kimei (katikati) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Rweikaza Mkandara wakitia sahihi mkataba wa makubaliano (MOU) kwa ajili ya kuzindua mpango wa elimu ya masafa ya mbali Dar es Salaam jana. Walisimama kutoka kushoto wakishudia mkataba huo ni Ismail Sadek, mkurugenzi wa MBS na John Rugambo kutoka CRDB benki na Prof. Justinian Ikingura, wa Shule ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Picha na Peter Twite).

No comments:

Post a Comment