MANJI NA WAKILI WAKE WATETA MAHAKAMANI KISUTU
Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Group Ltd, Yusufu Manji (kulia) akizungumza na wakili wake Dr Ringo Tenga katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo kesi yake ya madai ya fidia ya Shilingi moja dhidi ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi anayedaiwa kukashifu kupitia kituo chake cha ITV akituhumu kuwa ni fisadi papa na mmoja kati watu wanaopora rasilimali za Tanzania. (Picha na Peter Twite)
No comments:
Post a Comment